Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kondegang @harmonize_tz ameachia video ya ngoma yake ya Anajikosha hii ni kutokana na utaratibu wakel
Harmonize ameahidi kuwa hiyo ni trialler ngoma ya kufungulia mwaka inakuja akiwa na Anjella msanii mpya kutoka konde gang

0 Comments